iqna

IQNA

IQNA – Jumba la Makumbusho ya Sanaa la Houston, jimbo la Texas nchini Marekani, linaandaa maonyesho ya nakala za Qur’ani kutoka maeneo mbalimbali ya ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3481176    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/03

IQNA – Makumbusho ya Kiislamu ndani ya Msikiti wa Al-Aqsa yanahifadhi mkusanyiko wa kipekee wa nakala nadra za kihistoria za Qur'an Tukufu, kuanzia enzi za Umawiyah hadi Uthmaniyah.
Habari ID: 3481154    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/29

IQNA – Idara ya Masuala ya Kiutamaduni na Kielimu ya Haram ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, imetangaza kukamilika kwa zoezi la kuorodhesha hati 2,000 adimu zilizohifadhiwa katika maktaba yake.
Habari ID: 3480625    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/02

Turathi ya Kiislamu
IQNA-Msikiti wa Kijani huko Wolfenbüttel, Ujerumani, umepokea nakala nadra ya Qur'ani
Habari ID: 3480092    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/22

IQNA – Nakala adimu na ya kale ya Qur'ani Tukufu, iliyoandikwa karne nne zilizopita, imehifadhiwa katika kijiji kaskazini mashariki mwa Cairo, Misri.
Habari ID: 3479231    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/05

Turathi ya Kiislamu
IQNA - Miongoni mwa vitu vinavyoonyeshwa kwenye Maktaba ya Kitaifa ya Qatar ni nakala adimu ya Qur'ani Tukufu kutoka Morocco.
Habari ID: 3478442    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03

Turathi
TEHRAN (IQNA) – Nakala adimu ya Qur'ani Tukufu ya karne ya 15 Miladia ni miongoni mwa vitu vilivyoonyeshwa kwenye Maonyesho ya Vitabu ya Abu Dhabi 2023 katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3477045    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/25